TANGAZO KWA KIDATO CHA TANO, 2019/2020

WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA TANO, 2019/2020 WATAMALIZA MUHULA WA KIDATO CHA TANO TAREHE 24/07/2020

NA TAREHE 27/07/2020 WATAANZA RASMI MASOMO YA KIDATO CHA SITA.

HIVYO KAMA UNADAIWA MWAKA WA KIDATO CHA TANO, 2019/2020

UTAPASWA KULIPIA BENKI YA NMB KWA AKAUNTI NO.21101200009

PIA  KWA  KIDATO CHA SITA, 2020/2021 ADA NI  SHILINGI 161,000/= UTAPASWA KULIPIA BENKI YA NMB KWA AKAUNTI NO. 21101200009  NA UNATAKIWA KUJA NA RIM PAPER NA  PESA TASLIMU  SHILINGI 78000/= KWA AJILI YA :

ABDALLAH A , SAKASA

MKUU WA SHULE

LUGOBA SEKONDARI